Ufafanuzi wa pepesuka katika Kiswahili

pepesuka

kitenzi sielekezi

  • 1

    kwenda kama mlevi au mgonjwa au mtu aliyechoka sana.

    pepa, sepetuka, teleza, serereka

Matamshi

pepesuka

/pɛpɛsuka/