Ufafanuzi wa peteo katika Kiswahili

peteo

nomino

  • 1

    chombo cha umbo la duara kama ungo.

Matamshi

peteo

/pɛtɛɔ/