Ufafanuzi wa petroli katika Kiswahili

petroli

nomino

  • 1

    mafuta mepesi yanayotumika katika baadhi ya vyombo vinavyokwenda kwa nguvu za moto k.v. motokaa au pikipiki.

Asili

Kng

Matamshi

petroli

/pɛtrɔli/