Ufafanuzi wa pi katika Kiswahili

pi

kielezi

  • 1

    neno la kusisitiza weusi wa kitu.

    ‘Cheusi pi’
    ti

Matamshi

pi

/pi/