Ufafanuzi msingi wa pia katika Kiswahili

: pia1pia2pia3pia4

pia1

kivumishi

 • 1

  -enye kurudia.

  ‘Mungu ni muumba wa viumbe pia’

Matamshi

pia

/pija/

Ufafanuzi msingi wa pia katika Kiswahili

: pia1pia2pia3pia4

pia2

kielezi

Matamshi

pia

/pija/

Ufafanuzi msingi wa pia katika Kiswahili

: pia1pia2pia3pia4

pia3

kiunganishi

Matamshi

pia

/pija/

Ufafanuzi msingi wa pia katika Kiswahili

: pia1pia2pia3pia4

pia4

nominoPlural pia

 • 1

  kitu chenye umbo la mviringo juu na chenye msumari au mchongoko chini kinachotumiwa na watoto kuchezea baada ya kuzingirisha uzi na kuuvuta ili kizunguke.

 • 2

  mfupa wa duara ulioko gotini.

  ‘Pia ya goti’
  kilegesambwa

 • 3

  omo ya chombo iliyotengenezwa kwa duara, agh. katika mashua.

Matamshi

pia

/pija/