Ufafanuzi wa piga falaki katika Kiswahili

piga falaki

nahau

  • 1

    tazamia kwenye bao; piga ramli; chukua muda kufikiria jambo.