Ufafanuzi wa pikipiki katika Kiswahili

pikipiki

nominoPlural pikipiki

  • 1

    chombo cha usafiri kinachofanana na baiskeli lakini kinachoendeshwa kwa nguvu za mota na petroli au dizeli.

    kitututu

Matamshi

pikipiki

/pikipiki/