Ufafanuzi msingi wa pili katika Kiswahili

: pili1pili2

pili1

nominoPlural pili

  • 1

    nyoka mwenye sumu kali na madoa kwenye ngozi yake.

Matamshi

pili

/pili/

Ufafanuzi msingi wa pili katika Kiswahili

: pili1pili2

pili2

kivumishi

  • 1

    -enye kufuatia ya kwanza.

    ‘Huyu ni mtu wa pili kuja’

Matamshi

pili

/pili/