Ufafanuzi wa pimbi katika Kiswahili

pimbi

nomino

  • 1

    mnyama anayefanana na sungura lakini ana umbo dogo kuliko sungura na kubwa kuliko panyabuku.

    sili

Matamshi

pimbi

/pimbi/