Ufafanuzi wa pinga katika Kiswahili

pinga

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  zuia kutendeka kwa jambo kwa kutumia vitendo au maneno.

  zuia

 • 2

  kosa kukubaliana na maneno au vitendo vya mwingine.

  kanusha

 • 3

  shindana na mwingine kwa kutabiri matokeo ya jambo fulani kwa kuwekeana kitu k.v. pesa au nyumba ili atakayeshinda achukue chake na cha mwenziwe.

Matamshi

pinga

/pinga/