Ufafanuzi wa pingamizi katika Kiswahili

pingamizi, kipingamizi

nomino

  • 1

    kitu au jambo linalozuia kitu, jambo au tukio fulani lisitokee, lisifanikiwe au lisiendelee au lisitendeke.

    tatizo, noma