Ufafanuzi wa pingua katika Kiswahili

pingua

kitenzi elekezi

  • 1

    ondoa ushindani na mwingine baada ya kupingana.

Matamshi

pingua

/pinguwa/