Ufafanuzi wa pisa katika Kiswahili

pisa

kitenzi elekezi

  • 1

    tia wazimu; tia kichaa.

Matamshi

pisa

/pisa/