Ufafanuzi wa pitia katika Kiswahili

pitia

kitenzi sielekezi

  • 1

    tembelea mtu au mahali kwa muda mfupi.

  • 2

    enda kwa au karibu na mahali fulani.

Matamshi

pitia

/pitija/