Ufafanuzi wa podo katika Kiswahili

podo

nominoPlural podo

  • 1

    ala ya ngozi ya kuwekea mishale.

    pongono, ziaka, riaka

Matamshi

podo

/pɔdɔ/