Ufafanuzi wa pogoa katika Kiswahili

pogoa

kitenzi elekezi

  • 1

    kata matawi ya mti ili kuongeza mzunguko wa hewa baina ya matawi hayo.

    pelea

Matamshi

pogoa

/pɔgɔwa/