nominoPlural polisi
- 1
idara maalumu inayoshughulikia ulinzi wa sheria za nchi na usalama.
‘Kituo cha polisi’
nominoPlural polisi
- 1
askari mwenye dhamana ya kuona kuwa sheria na usalama wa nchi hauvunjwi.
Asili
Kng