Ufafanuzi wa pomoa katika Kiswahili

pomoa

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lea, ~leana, ~lewa, ~sha

  • 1

    fanya kuwa tulivu.

    ‘Alikuwa na hasira nyingi lakini nimempomoa’
    tuliza

  • 2

    angusha vitu vilivyopangwa kimoja juu ya kingine.

Matamshi

pomoa

/pɔmɔwa/