Ufafanuzi wa pomoni katika Kiswahili

pomoni

kielezi

  • 1

    mpaka juu.

    ‘Ndoo imejaa pomoni’
    tele, mno, chekwa, belele

Matamshi

pomoni

/pɔmɔni/