Ufafanuzi wa popa katika Kiswahili

popa

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~ewa, ~eza, ~wa

  • 1

    funga kwa kukaza sana; funga madhubuti.

Matamshi

popa

/pɔpa/