Ufafanuzi wa popoo katika Kiswahili

popoo

nominoPlural popoo

  • 1

    tunda gumu lenye umbo la duara lililofunikwa na makumbi k.v. nazi ambalo hukatwa vipande vyembamba na kutafunwa pamoja na tambuu.

Matamshi

popoo

/pɔpɔ:/