Ufafanuzi wa popotoa katika Kiswahili

popotoa

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lea, ~leana, ~lewa, ~sha, ~wa

  • 1

    sokota, songonyoa au nyonga k.v. mkono, kwa madhumuni ya kuvunja.

  • 2

    songa, songoa, babadua

Matamshi

popotoa

/pɔpɔtɔwa/