Ufafanuzi wa potofu katika Kiswahili

potofu

kivumishi

  • 1

    -enye kutofuata njia iliyonyooka au mwongozo wa sawa au njia ya haki.

Matamshi

potofu

/pɔtɔfu/