Ufafanuzi msingi wa poza katika Kiswahili

: poza1poza2poza3

poza1

nomino

  • 1

    malipo anayopewa mtu ili kumtuliza kwa jambo, agh. baya, alilotendewa.

    faraja, liwazo

Matamshi

poza

/pɔza/

Ufafanuzi msingi wa poza katika Kiswahili

: poza1poza2poza3

poza2

kitenzi sielekezi~ana, ~ea, ~eka, ~esha, ~wa, ~eana, ~ewa

Matamshi

poza

/pɔza/

Ufafanuzi msingi wa poza katika Kiswahili

: poza1poza2poza3

poza3

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eka, ~esha, ~wa, ~eana, ~ewa

  • 1

    ondoa moto au joto k.v. katika chai.

    gongomea

Matamshi

poza

/pɔza/