Ufafanuzi msingi wa presha katika Kiswahili

: presha1presha2

presha1

nominoPlural presha

  • 1

    msongo wa roho au wa neva; shinikizo la damu.

Asili

Kng

Matamshi

presha

/pre∫a/

Ufafanuzi msingi wa presha katika Kiswahili

: presha1presha2

presha2

nominoPlural presha

  • 1

    msongo wa hewa, gesi au majimaji k.v. marashi kwenye chombo.

Asili

Kng

Matamshi

presha

/pre∫a/