Ufafanuzi wa projekta katika Kiswahili

projekta

nomino

  • 1

    chombo, agh. cha umeme, kinachotumiwa kukuzia miale ya mwangaza au kuonyeshea picha k.v. za sinema kwenye kitambaa, ubao au ukuta.

Asili

Kng

Matamshi

projekta

/prɔʄɛkta/