Ufafanuzi wa pukuchua katika Kiswahili

pukuchua

kitenzi elekezi

  • 1

    ondoa chembe za mahindi katika gunzi kwa kutumia mikono.

    kokoa

Matamshi

pukuchua

/pukutʃuwa/