Ufafanuzi wa pukuta katika Kiswahili

pukuta

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    toa kitu k.v. majani kwenye mmea au manyoya ya mnyama kwa kutikiswa.

Matamshi

pukuta

/pukuta/