Ufafanuzi wa pumu katika Kiswahili

pumu

nomino

  • 1

    ugonjwa wa mapafu unaomfanya mgonjwa awe na shida ya kupumua.

Matamshi

pumu

/pumu/