Ufafanuzi wa punga mkono katika Kiswahili

punga mkono

msemo

  • 1

    nyosha mkono juu kama ishara ya kumsalimu au kumuaga mtu mwingine.