Ufafanuzi wa pungua katika Kiswahili

pungua

kitenzi sielekezi

  • 1

    kosa kufikia kiwango kilichotarajiwa au cha kawaida; kosa kukamilika.

  • 2

    kuwa ndogo zaidi ya kiwango kilichotakiwa.

    tindika

Matamshi

pungua

/punguwa/