Ufafanuzi wa pungwa katika Kiswahili

pungwa

nomino

  • 1

    ngoma ya pepo ya kumtibu mgonjwa anayedhaniwa kuwa ana pepo.

Matamshi

pungwa

/pungwa/