Ufafanuzi wa pure katika Kiswahili

pure

nominoPlural pure

  • 1

    chakula kinachopikwa kwa kuchanganywa punje za mahindi na maharage au kunde.

    kande, githeri

Matamshi

pure

/purɛ/