Ufafanuzi wa purura katika Kiswahili

purura

transitive verb

  • 1

    chuma majani kwa wingi kwa kuvuta kwa mkono kutoka kwenye vishikizo vyake.

  • 2

    vuta kwa namna ya kufyonza kwa mdomo k.v. uji au chai iwapo moto.

Matamshi

purura

/purura/