Ufafanuzi wa puruzai katika Kiswahili

puruzai

nomino

  • 1

    dharau au kutotilia umuhimu jambo; upuuzaji wa mambo.

    dharau

Matamshi

puruzai

/puruzaji/