nominoPlural puya
- 1
sukari iliyokorogwa na kuwa nzito kama uji ambayo hutumiwa katika utengenezaji wa pombe.
nominoPlural puya
- 1
tumbaku iliyosokotwa.
nominoPlural puya
- 1
mazungumzo yasiyokuwa ya kweli.
uongo
sukari iliyokorogwa na kuwa nzito kama uji ambayo hutumiwa katika utengenezaji wa pombe.
tumbaku iliyosokotwa.
mazungumzo yasiyokuwa ya kweli.