Ufafanuzi msingi wa pwaga katika Kiswahili

: pwaga1pwaga2

pwaga1

kitenzi elekezi

  • 1

    ondoa makapi ya mwisho kwa kutumia kinu na mchi wakati wa kutwanga.

Matamshi

pwaga

/pwaga/

Ufafanuzi msingi wa pwaga katika Kiswahili

: pwaga1pwaga2

pwaga2

kitenzi sielekezi

  • 1

    chemka au tokota kwa kitu k.v. chakula katika chungu; tokota kwa mngurumo.

Matamshi

pwaga

/pwaga/