Ufafanuzi wa pwaguzi katika Kiswahili

pwaguzi

nomino

  • 1

    mwizi wa daraja ya juu kuliko pwagu.

    ‘Leo pwagu na pwaguzi wamekutana’

Matamshi

pwaguzi

/pwaguzi/