Ufafanuzi wa raghba katika Kiswahili

raghba

nominoPlural raghba

  • 1

    hali inayompa mtu hamu au kuvutika na jambo fulani.

    mvuto

Asili

Kar

Matamshi

raghba

/raɚba/