Ufafanuzi wa raha katika Kiswahili

raha

nominoPlural raha

  • 1

    hali ya kutokuwa na shida au usumbufu; hali ya kustarehe.

    unono, naima, ureda

Asili

Kar

Matamshi

raha

/raha/