Ufafanuzi msingi wa Rahimu katika Kiswahili

: Rahimu1rahimu2

Rahimu1

nominoPlural Rahimu

Kidini
  • 1

    Kidini
    jina litumikalo kumtaja Mwenyezi Mungu linaloashiria rehema zake kulingana na imani ya Waislamu.

Asili

Kar

Matamshi

Rahimu

/rahimu/

Ufafanuzi msingi wa Rahimu katika Kiswahili

: Rahimu1rahimu2

rahimu2

kivumishi

  • 1

    -enye huruma; -enye upole.

    ‘Mtu yule ni rahimu sana’

Asili

Kar

Matamshi

rahimu

/rahimu/