Ufafanuzi wa rajamu katika Kiswahili

rajamu

nomino

  • 1

    alama ya biashara inayotambulisha bidhaa kuwa zimetengenezwa na kampuni au shirika fulani.

    chapa

Asili

Kar

Matamshi

rajamu

/raŹ„amu/