Ufafanuzi msingi wa ratili katika Kiswahili

: ratili1ratili2ratili3

ratili1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    soma sawasawa na kwa makini.

Asili

Kar

Matamshi

ratili

/ratili/

Ufafanuzi msingi wa ratili katika Kiswahili

: ratili1ratili2ratili3

ratili2

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

kishairi

Asili

Kar

Matamshi

ratili

/ratili/

Ufafanuzi msingi wa ratili katika Kiswahili

: ratili1ratili2ratili3

ratili3

nominoPlural ratili

  • 1

    kipimo cha uzani chenye wakia 16 au kinachokaribia nusu kilo.

    pauni

Asili

Kar

Matamshi

ratili

/ratili/