Ufafanuzi wa refuka katika Kiswahili

refuka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    ongezeka kwa urefu.

    ‘Mtoto huyu amedumaa, harefuki tena’

Matamshi

refuka

/rɛfuka/