Ufafanuzi wa rejelea katika Kiswahili

rejelea

kitenzi elekezi

  • 1

    rudia kuangalia kitu au jambo kwa mara nyingine.

Asili

Kar

Matamshi

rejelea

/rɛʄɛlɛja/