Ufafanuzi msingi wa rejesta katika Kiswahili

: rejesta1rejesta2

rejesta1

nominoPlural rejesta

 • 1

  bahasha maalumu inayotumiwa kupostia vitu vya thamani k.v. pesa, ambayo huorodheshwa kwenye vitabu vya posta ili kuthibitisha kupokewa kwake.

 • 2

  kitabu kinachowekewa orodha ya majina ya watu au vitu.

Asili

Kng

Matamshi

rejesta

/rɛʄɛsta/

Ufafanuzi msingi wa rejesta katika Kiswahili

: rejesta1rejesta2

rejesta2

nominoPlural rejesta

Sarufi
 • 1

  Sarufi
  mtindo wa lugha inayotumika mahali penye shughuli fulani na ambayo ni tofauti na lugha ya kawaida k.m. lugha ya wavuvi, kishairi, kibaharia au kihunzi.

  sajili

Asili

Kng

Matamshi

rejesta

/rɛʄɛsta/