Ufafanuzi wa rekebisha katika Kiswahili

rekebisha

kitenzi elekezi

  • 1

    tengeneza kilichokwenda kombo ili kiwe sawa.

    ‘Rekebisha tabia yako mbaya’
    sawazisha, sahihisha

Asili

Kar

Matamshi

rekebisha

/rɛkɛbi∫a/