Ufafanuzi wa riahi katika Kiswahili

riahi

nomino

  • 1

    ugonjwa wa tumbo kujaa upepo; hali ya kuwa na upepo mwingi tumboni.

Asili

Kar

Matamshi

riahi

/rijahi/