Ufafanuzi wa rijali katika Kiswahili

rijali

nomino

  • 1

    mwanamume mwenye nguvu za kiume.

Asili

Kar

Matamshi

rijali

/riʄali/