Ufafanuzi wa riksho katika Kiswahili

riksho

nominoPlural mariksho

  • 1

    chombo cha usafiri kinachofunikwa, chenye magurudumu mawili, huchukua abiria, huendeshwa kwa kusukumwa au kukokotwa na mtu mmoja au watu wawili, na kinachotumika hasa nchi za Asia.

  • 2

    aina ya baiskeli yenye magurudumu matatu na sehemu ya nyuma ya kubebea abiria na kipaa.

Asili

Kjp

Matamshi

riksho

/rik∫ɔ/